Zito kabwe aliamua kuanika mali zote anazozimiliki baada ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa hapa nchini Tanzania ACT wazalendo. Katika chama chake hila kiongozi anatakiwa kuonesha male zake zote zikiwemo zinazohamishika na zisizohamishika. ameorozesha zote kuanzia nyuma, mashamba , hisa na magari yote aliyonayo.
kujua zaidi kuhusu mali zake https://www.scribd.com/document/260764677/Tamko-La-Rasilimali-Na-Madeni-zitto-Zuberi-Kabwe#fullscreen&from_embed
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
ZARI alichokifanya kwa Mtoto wa DIAMOND: kamfanyia kitendo kikubbwa.
Video hii hapa chini itakujuza zaidi kuhusiana na kisa na mkasa wa alichokiaandika zari kwa mtoto huyo hii hapa https://youtu.be/iSLPB33Mf...

Post Bottom Ad
DEEPEN TZ
No comments:
Post a Comment