Katika kujiaandaa na mchezo wao dhidi ya mbao fc, timu hii ya yanga ambayo kwa sasa inashikilia nafasi ya tatu katika michuano ya ligi kuu nchini Tanzania, imeipiga uongo timu ya mbao fc kwa kutofika kwa mda uliokua ukijulikana. walisema kua wangefika mahali hapo kwa mda waliokubaliana lakini wao hawakuweza kufika kwa muda huo.
Mbali na hayo timu ya Yanga wamezoea kutembelea gari lao la timu hiyo na ndilo lilokuwa linajulikana lakini kwa siku ya jana hawakuweza kutumia gari hilo na badala yake wakatumia gari ndogo ambalo watu hawakutegemea kuwa wangeenda nalo maana ni dogo kuliko Busi lao.
Mashabiki waliwasubili kwa hamu, na wandishi wakisubili kuandika habari zao lakini waliwaacha solemba baada ya kutofika kwa muda na kutumia usafiri usiozoweleka kwao. Msomaji wa Deepen habari karibu sana tunatengeneza web hii karibuni inakuwa vizuri, Michezo siasa na burudani vitapatikana hapa. Video na sauti hivi hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
ZARI alichokifanya kwa Mtoto wa DIAMOND: kamfanyia kitendo kikubbwa.
Video hii hapa chini itakujuza zaidi kuhusiana na kisa na mkasa wa alichokiaandika zari kwa mtoto huyo hii hapa https://youtu.be/iSLPB33Mf...

Post Bottom Ad
DEEPEN TZ
No comments:
Post a Comment