Haruna Niyonzima amefunguka mengi sana baada ya timu anayoichezeoa ( SIMBA) kuifunga ndanda magoli 2 kwa 0 yote yakifungwa na JOHN BOCCO. Baada ya mechi Haruna Niyonzima ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram maneno akiwashukuru sana wachezaji wote wa SIMBA na hasahasa BOCCO kwa kuisababishia Simba kuendelea kushikilia nafasi yao ya kwanza au kilele katika mashindano ya ligi kuu Tanzania bara. Niyonzima ameandika haya:
Alhandulilah kwa ushindi wa leo tarehe 30 12 2017 na pia ongera sanaa wachezaji wote kiukweli siku ya leo imekuwa siku nzuri yenye furaha na amani.Big up my brother Bocco Mungu azidi kukusimamiya mwanangu.Simba nguvu moja najua wataelewa one day
No comments:
Post a Comment