Midfielder Nigeria, Kehinde 'Kenny' Yisa Anifowoshe is just as famous as Yisa Anifowoshe (pictured right) is in a position to register Yanga SC after attracting a '
The player on October 11, at the age of 25, has been playing for Oman Al Ittihad SC from January this year and has come to Tanzania to try to change the wind after playing West Afro-Asia.
And in today's practice, Anifowoshe appeared to play well and implored coach Mzambia, George Lwandamina, who was expected to make a decision to be registered "
Yanga has one chance to register a foreign player and wants more to take the midfielder to seal the Gap's gap, Vincent Bossou, as Mkongo Kaby Tshishimbi has already blocked the gap of Rwandan, Haruna Niyonzima.
translate language herynews swahili
BEKI wa kati Mnigeria, Kehinde ‘Kenny’ Yisa Anifowoshe maarufu tu kama Yisa Anifowoshe (pichani kulia) yuko kwenye nafasi nzuri ya kusajiliwa Yanga SC baada ya kuvutia katika majaribio'
Mchezaji huyo ambaye Oktoba 11, mwaka huu atafikisha umri wa miaka 25, msimu uliopita alichezea Al Ittihad SC ya Oman kuanzia Januari mwaka huu na amekuja Tanzania kujaribu kubadilisha upepo baada ya kucheza Afrka Magharibi na Asia.
Na katika mazoezi ya leo, Anifowoshe alionekana kucheza vizuri na kumvutia kocha Mzambia, George Lwandamina ambaye anasubiriwa kutoa uamuzi ili asajiliwe"
Yanga ina nafasi moja ya kusajili mchezaji wa kigeni na na inataka zaidi kuchukua beki wa kati kuziba pengo la Mtogo, Vincent Bossou, kwani tayari Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi ameziba pengo la Mnyarwanda, Haruna Niyonzima.
No comments:
Post a Comment