SIMBA na YANGA kutoonehwa kwenye TV tena. FUNUNU. - deepentz

Breaking News

test banner
SIMBA na YANGA kutoonehwa kwenye TV tena. FUNUNU.

SIMBA na YANGA kutoonehwa kwenye TV tena. FUNUNU.

Share This
TFF nchini Tanzania baada ya kuhojiwa na E FM wamewekw wazi kabisa kuwa endapo itagundulika kua mashabiki na washangiliaji wanakosekana uwanjani kwasababu runinga kadhaa zinaonesha mpira wa niguu, basi kutakua na ulazima wa kufungia TV hizo kuonesha michuano ya mpira Tanzania.
Akisisitiza zaidi amesema kua bado wanafanya utafiti wa kubaini kuwa kinachoongelewa nikweli au ni hali ya maisha na mazowea tu ya watanzania. Utafiti ukimalizika tutaweka wazi suluhisho la kupata mashabiki au washangiliaji viwanjani. alisema Karia akihojiwa na mwandishi wa habari. wa redio.
Aliongeza kuwa anashangaa sana na inashangaza kwanini Tanzania tu watu wasipende kwenda viwanjani hata kukiwa na match inayozikutanisha timu kubwa kama simba na yanga hapa tanzania. Msomaji wa Deepenhabari, Karia aliendelea kusema kuwa Kuna haja ya kubaini tatizo ni nini na kulitafutia ufumbunzi wa haraka maana bila wao hata TFF inaweza kukosa mapato makubwa kwani hutegemea zaidi hilo.
                       Nchi nyingine watu wanaangalia mpira kwenye TVs lakini hata viwanjani hawakosi Basi Tutaliangalia na tutakuja na suruhisho madhubuti, kama itatulazimu kufungia TVs au kuja na jibu lingine tutaweka wazi utafiti ukikamilika. alisema KARIA ambae anahusikana TFF nchini Tanzania.
                     https://youtu.be/GlFWtiJoseo

No comments:

Post a Comment

Featured Post

ZARI alichokifanya kwa Mtoto wa DIAMOND: kamfanyia kitendo kikubbwa.

Video hii hapa chini itakujuza zaidi kuhusiana na kisa na mkasa wa alichokiaandika zari kwa mtoto huyo hii hapa  https://youtu.be/iSLPB33Mf...

Post Bottom Ad

DEEPEN TZ

Pages