Ukweli wa Kuhusu kifo cha Niyonzima Haruna: - deepentz

Breaking News

test banner
Ukweli wa Kuhusu kifo cha Niyonzima Haruna:

Ukweli wa Kuhusu kifo cha Niyonzima Haruna:

Share This











Haruna niyonzima ni mchezaji anaecheza nchin Tanzania ila akitokea nchini Rwanda. Kifo kimezushwa na mtu asiejulikana akadai kuwa haruna niyonzima alifaliki dunia baada ya kupata ajali ya gali. Lakini tarifa hii haikua sahihi maana aliefaliki anaitwa Ndikumana na wala sio Niyonzima.

Alaani taarifa hiyo Niyonzima anasema kuwa yeye yuu mzima na hajapata ajali yoyote kama watu wanavyosema katika mitandao mbalimbali hapa Tanzania.
Ndikumana alianza kuumwa kichwa na baadae kwenda hospitalini na hatimae akafaliki dunia akiwa hospitalini.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

ZARI alichokifanya kwa Mtoto wa DIAMOND: kamfanyia kitendo kikubbwa.

Video hii hapa chini itakujuza zaidi kuhusiana na kisa na mkasa wa alichokiaandika zari kwa mtoto huyo hii hapa  https://youtu.be/iSLPB33Mf...

Post Bottom Ad

DEEPEN TZ

Pages